Konde boy na Wizzy, iih Yeah Country Wizzy ah Konde boy na Wizzy, iih Yeah Country Wizzy ah Its s2kizzy beiby Yao yao Country Wizzy again, iih Na Konde boy Kama una mtoto wako njoo naye Usije ukazubaa baadaye Niko na bunduki mi na roll naye Tuna roll up, roll up, roll up, yeah Naona ashaanza waka waka Na mtoto anavyo kata kata Itakuwaje akimkamata mata Nitamchakaza chaka chaka Nangoja muda ufike twende ndani (ayayayaya) Kwenye bonge la uwanja kitandani (ayayayaya) Nikuonyeshe vile mi hufanya mami Sinanga utani, utani, utani, utani Kuna watoto wakali ooh Kali oooh, kali ooh, kali ooh Nyuma wana makalio Kali oooh, kali ooh, kali ooh (iiih) Temeke na kinondoni (haya) Ilala manzese na mwananyamala mala Huku viatu vipo mfukoni (haya) Napigaga peku yaan bila hata ndala ndala Nawaskia machizi wanaunda kamati Wanadata na viuno na hilo body body Inabidi nijiongeze niwe big daddy Yes I am a big daddy and am a move daddy (Woooh) Mama wewe ni fire yo Umekusanya kama kwaya yo We ni number one desire girl Kwenye michezo we ni mbaya yo Nangoja muda ufike twende ndani (ayayayaya) Kwenye bonge la uwanja kitandani (ayayayaya) Nikuonyeshe vile mi hufanya mami Sinanga utani, utani, utani, utani Ooh beiby, Katika piga magoti, piga magoti Acha wanaopiga majungu Asa namwaga manoti, namwaga manoti Maana nisha hongwa na mzungu Ona kapandisha uchizi hivyo Kabinuka kama mbuzi kashikwa mapembe Hasira za mkizi hizo Furaha kwa mvuvi, kijino pembe Tuna watoto wakali ooh Kali oooh, kali ooh, kali ooh Nyuma wana makalio Kali oooh, kali ooh, kali ooh (iiih) Temeke na kinondoni (haya) Ilala manzese na mwananyamala mala Huki mi viatu vipo mfukoni (haya) Nnapigaga peku ya mipira tandala ndala Its S2kizzy beiby Konde boy na Wizzy, iih Yeah Country Wizzy ah Konde boy na Wizzy, iih Yeah Country Wizzy ah