Kishore Kumar Hits

Young Lunya - Session 3 (Freestyle) текст песни

Исполнитель: Young Lunya

альбом: Session 3 (Freestyle)


(Ooh my)
Nifanye hii kama sifanyi tena kudadeq
(Bobo)
Am taking bongo rap to the next levels
(Wooh)
Mwambieni yule mtoto moto huu haingii kamwe
Kitonga atakachokipata ni WiFi tu
Kwa ninachokifanya katika round hii
Hapati hata sare maana nimanza na plan B young king
Flow zao za kitozi zimekataliwa
Ni uchafu kama kinga zilizovaliwa
Mi nataka kile kiti kilichokaliwa
Sipendi mi kuchana sana babu ndo nilivyozaliwa
Skia sasa mi nazisaka chapaa
Nikijikita kapuni nabonga na Lamata
Najichorea mistari kisha naingia chaka
Nikirudi nakamata anavyovipenda dj choka sanchoka
Sina muda wa kubishana na vijana fake
Ukiniona na tajiri abbas napishana bank
Mimi na wanangu kama Samatta na Genk
Huwezi kuleta story za kimama mama matter point
OMG! ipo that's ma dream team
Chuo cha rap bongo tulishahitimu
Matozi bwana kujikuta wendawazimu
Ndio unanidai ila umenikuta na Y ' Gen
Nishawahi kuwa nalala studio naombea pakuche
Saiv hamna shida ghetto mashuka meupe
Mama zako wananiganda ganda kama kupe
Baada ya hii section naenda zangu Zenji kula pupwe
Hear come marapa wabovu nawafyeka
Ukiona bebe kali ipo na mimi nimejieka
Ushauri staki ujana nitaucha nikizeeka
Nawala kisha nafungulia sound home threater
Jomba come down sit back relax
Mi shabiki wa damu wa msimbazi Simba
Kwa kukinukisha nimelikalisha kimba
Panya mpaka kafika cha kukushauri chimba
Ntafika mpaka ulipo
Fata pesa zilipo
Piga pini pande zote Halleluyah Willy Paul
Brand kubwa philipo
Sitishwi na vitisho
Vina vimepangiliwa mwanzo kati na mwisho
Nafanya yangu i got no fans to give fighting life to live
Nipo studio we unamuita waiter alete kaa to live
Shida yako we ni kitabu au michakato tatizo
Truth heart couple lete hela mziki ni shafolizo
Ngoma back to back
His back to pack
For a party to party
Keep'n black to black
Kula skeed and black
Kuropoka na kuleta blah blah hatutaki
Ndo maana
Nazidi kufanya
Nazidi kusanya
Mnazidi kuhanya
Nazidi kuwakanya
Mnanjia za panya
Mna-idea za chanya
Mnaibia nikifanya
Iga na hii
Eeh bana child wanataka ni flow
Wanataka niwe kama before
Hawataki nikisanue joh
Mi nataka nizikamue flow
Siachi mpaka wanikwarue roho
Mi sinaga marue rue no
Kiwalani nimeagiza dow
Sasa basi vya bure bure no
(No no no)
No shawty
Sikupost japo it's ur birthday
Leo page ina mambo mengi we kuwa mpole
Am a take you off for your post day
Madada wa mjini bwana usiwape gambe
Utaskia hiyo ngoma yako mbona pambe
Zangu mimi kuwapiga pini
You gonna came bei
Juu ya beat ya bobo ngoma ka mbele
(Yeah)
He we go (He we go)
Hili dundo madawa ya kulevya illegal
Si wahuni tunafata pesa ilipo
Haya sasa kama unavyotuona he we go
He we bosh poppy kama kali naikaa
Going speed like am fast car (Mmm vooom)
Preach preach like am pastor
Am a superstar don't you know ma foo
Mimi pombe usiniombe tukuombee
Na marapa wako wabovu bovu usinicompare
Msinicompare msijikombee
Nyie ma slayqueen mi sio danga msinigombe gombee
Ukishindwa kutunza familia
Ukirudi utakuta no body's home
Na wanaojiuza watamuuzia nani
Na pengine utakuta no body's horny
Sasa kwa wale wanaoitaka vita
Tutapigania wapi no fight'n zone
Kwenye crew yangu we unamweza nani
Salmin, Con Boy no body know
(We Outchea)
Roof top PNT baby
Couple, Toyo... (yeah, yeah)
Petitman Rasta
Ooh my SMG
You ready know what's pipp'n baby

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Whozu

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Fid Q

Исполнитель