I don't know why you so greedy Nakuhitaji maana usiku baridi Kukukosa kwako nnazidi Kupagawa ila ntajitahidi What can I do without you Si ungerudi mi nipate nafuu Natamani nikuchore tattoo Wengine chambo ila we ndo my boo Daily hua unafanya nijiulize like why Nini kilifanya ukasema bye bye Ushasema wengi wanakufata don't lie Mbele ya marafiki zako ukanitoa nishai And I know you've been waiting for me Sema nasubiri kuona what it's gon be Baby come back Baby come back Baby come back Baby come back Najua kwanini unanicompare na your ex-boyfriend, In my heart I gave you the keys baby Hujui ni vipi nakuombea nikienda kokote, Cause you smart ni kama nasizi baby I know you wanna cut me some love, Kwa sababu nilicheat but she wasn't even best friend baby I wanna give you sunshine, though hatuna time But I promise I can make you mine baby You know me better than everybody kabla sijasema Hujajua ni jinsi gani ntasuffer ka ukinitema Siwezi kua sawa moyo uliutaka nshakua kilema Maana nshapagawa, yani mpaka washkaji nishawatema Nini ntafanya unirudie, najua ni ngumu sana Hata ndugu zako nyumbani washanishtumu sana Ila hawajui tulipotoka kabla ya kuvutana Sasa nishaamini kwamba mapenzi yana nguvu sana Daily hua unafanya nijiulize like why Nini kilifanya ukasema bye bye Ushasema wengi wanakufata don't lie Mbele ya marafiki zako ukanitoa nishai And I know you've been waiting for me Sema nasubiri kuona what it's gon be Baby come back Baby come back Baby come back Baby come back