Kishore Kumar Hits

Salmin Swaggz - WHY текст песни

Исполнитель: Salmin Swaggz

альбом: WHY


Look
Maisha ya mtaani sio rahisi kuona happy days
To make it out of the ghetto you gotta find a way
Ukiwa mzembe unaweza usione msosi kwa plate
Ndomana na hustle na ma niggas hakuna kucomplain
The way na make deals like Pablo in the 80's
Uki elevate kidogo niggas hawapendi
Watafanya wanavyoweza ili ubaki stendi
But I be dunkin on em' you can call me KD (hunh)
Mioyo safi hatuna roho za kukunja
Ila ukileta ukuda brotherman hapa utadundwa
Na ukijifanya nunda
Tunakuachia walimwengu wenye hasira mbaya na miguu watakuvunja
Maniga wanafki nishawajua
Na kama you don't see my call nishakupangua
I know you wanna see me fall nakaza kila hatua
Mkiniona nina ball mnaugua yaani
Why why why why why why why why why why
Why why why why why why why why why why
Why why why why why why why why why why
Why why why why why why why why why why
Puff mbili kwenye system
Tunawaza jinsi ya kutoboa tuna big dreams
Hii makiki makiki mwisho sikupokelei simu
Na utauliza is it really him
Naziona pisi zinapagawa tu na maisha ya mitandao
Ruti za dubai wanataka kuwa wao
Bata zimefanya umemtelekeza mwanao
Mwingine anashinda kwa wana hapataki kwao
Mnigga mwenye black skin
Inahitaji uwe na akili nyingi na kuelewa unachotaka
Kwenye maisha na love, you know what I mean
Kila mjanja anaupiga mwingi mwingi, ila suala la msingi
Tusikate ringi, tukawa mapimbi
Tufanye vitu vingi kama noti na shilingi sio vuta nikuvute,
Tupate hata good day, nakaa nasema
Why why why why why why why why why why
Why why why why why why why why why why
Why why why why why why why why why why
Why why why why why why why why why why

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Uno

2020 · сингл

Похожие исполнители

Fid Q

Исполнитель