Kishore Kumar Hits

Dj Obza - Mang' Dakiwe (Remix) текст песни

Исполнитель: Dj Obza

альбом: Mang' Dakiwe (Remix)

Ah-ah, ah-ah
Ah-ah, ah-ah
Ah-ah, ah-ah
Ah-ah, ah-ah, ah-ah
Eh yah, ya ya
(Hey yeah, ah, na, ne, le, la) Ah ha ha ha
(Hey yeah, ah, na, ne, le, la) Jeshi (Jeshi)
Nikilewa sitaki nig'asiwe (nikilewa sitaki nig'asiwe)
Niaje msela (niaje msela), mbona unanikera (mbona unanikera)
Nikishalewa sitaki nig'asiwe (nikishalewa sitaki nig'asiwe)

I'm sorry if I did you wrong, nimekukanyaga
Miguu yangu haiwagi strong nikishalewaga

Liwalo naliwe sitoumiza mtu
We naliwe sijanywa cha mtu
Ah, ah nayumba
Ah, ah nayumba
Liwalo naliwe sitoumiza mtu
We naliwe sijanywa cha mtu
Ah, ah nayumba
Ah, ah nayumba
Yaz' 'ma ng'dakiwe sakhumbula lutho
Yaz' 'ma ng'dakiwe akekh' ozongitshela
Ah-ah, ah-ah, ng'zozisola
Ah-ah, ah-ah, ng'yazisola

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители