(Intro) Its been a longtime na mafans huku nje wameitana Expluswhy Its been a longtime na mafans huku nje wameitana Nimekam joh back to back Juu najua lyrically niko blessed inshallah Mbang'a si alikang'wa Shots kwa scene si ilikuwa ni drama Beef kwa streets imeleta lawama Story za mbang'a ata Hessy alikang'wa Hold up, hio ni intro ngojaa Ngeus wako ataleft ukisota Wrist ni mambota, look minapiga ni diriba niko icy kama glacier Nimejam kwa hii track design ya Kanye West hizi bars ziko mad New kid lyrically spoilt but still edible joh nyi msha expire eeih Murder everyone,King Von alikang'wa inshallah (kang'waa) Back then tuli buy shada sai tuko large scale tunazipandaga Niko dripped ma ice si ni ma ngoto eeih mi hupenda ma ngeus wana utoto Last time nili cut off dem ali try kunichomea mboto Nima cash aah.i don't do chеcks ni ufala Nimehepa mambang'a wee ni rookie plus nikistеp matanga tunakuzika Aah nimejipin ndeng'a plus try kuni diss utagenya Nyi ni ma fans na bado ma mbleina Hii ngoma mta hate na bado mtapenda Fans in denial OG ashasema Niko kejani na ngeus anahema juu ni lipunda anakemba Off course nilimteka kwa kesha Lyrically blessed mi hu spit bila stress Niki step kwa booth joh producer asha tense Nina rep my crew affiliation blue Kina Lowki The Great, tuko kigeng mabazuu Gang signs ma youth, tuko na ngori na mambaru Leta ngori kwa crew, ukuwe topic kwa news Mi ni fire kwa booth, uliza Hobby bazuu Ka una ngori bazuu niko na moshi bazuu Hii ni ya warazi,ka wee ni mrazi Itoka ina spark joh warazi wanabaki Warazi mafala ndio huteka walami Tuko mangwai, tuko makali Mi ndio nliteka ule ngeus wa jirani Nipate kwa bash niki supply mabangi Contrabands zote nimeseti kwa parking Badder than them joh hii ngoma si ni kali (Outro) Hio ni intro ngojaa, ngeus wako ataleft ukisotaa Wrist ni mambota, look minapiga ni diriba niko icy kama glacier aah Mbang'a si alikang'wa Shots kwa scene si ilikuwa ni drama Beef kwa streets imeleta lawama Story za mbang'a ata Hessy alikang'wa Hold up.hio ni intro ngojaa Ngeus wako ata left ukisotaa Ukisota