Nilikuwa natafuta rafiki Atakaye kuwa wa kudumu Nilikuwa nimekosa tumaini Kwani binadamu wabadilika kama kinyonga Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena Upendo Wako unanipa nguvu Nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani Nitaogopa nini heey Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe Wewe ni Mwaminifu milele Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe Wewe ni Mwaminifu milele, milele, milele milele... Taratatatata Tena nikapata, marafiki kadhaa Punde shida ilipoingia nao waliondoka Nikalia mpaka nilipokumbuka Kuwa kuna rafiki asiye badilika Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena Upendo Wako unanipa nguvu Baba Nikiwa Nawe Yesu, nitaogopa nani Nitaogopa nini heey Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe Wewe ni Mwaminifu milele Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe Wewe ni Mwaminifu milele Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe Wewe ni Mwaminifu milele, milele Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe Wewe ni Mwaminifu milele Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe Wewe ni Mwaminifu milele...