(Six position) Maboys wanataka tuende tuive shada Round mbili, tatu sasa sisi tuko rada Masanse wakikam tumeshajikata Mali zangu safi hadi huwezi ukazipata Masoja, wakanipata "Kijana hebu sema kila kitu ulikuwa unafanya" Afisa minajua unataka tu kukanjwa Nilikulwa maviboko zote kwa mapaja Ngwai ngwai, mangwai ngwai Ngwai ngwai, mangwai ngwai Ngwai ngwai, mangwai ngwai Ngwai ngwai, mangwai ngwai (wooh!) Ata mimi imeniboo Kuna maboyz wamekuja jooh Ati ngwai ngwai, mangwai ngwai (wuwii) (Six position) Nilichocha masa niko church (masa niko church) Kumbe niko baze jaba na kishash Akipiga tunaenda mtaani very fast (mmh) Ebu try to do your things I'll also do my part (mmh) Alijocha sahi mguu ziko apart (mguu ziko apart) Never a thing aii, mbona ati mbona unacatch? (Ati mbona unacatch?) After strath ni Caribbean na ka shirt Alinidai wakanidai bahati mbaya wakabunt (twendee) Ati ngwai ngwai, mangwai ngwai Ngwai ngwai, mangwai ngwai Ngwai ngwai, mangwai ngwai Ngwai ngwai, mangwai ngwai (wooh!) Ata mimi imeniboo Kuna maboyz wamekuja jooh Ati ngwai ngwai, mangwai ngwai (Six position) Aii you want bambam? (Bambam) You want to chill with the big boys? (Big boys) Aii, fuata nyuki ule asali Mkinitafuta hamnipati Siunajua mi nani? Davido, Skelewu Fireboy, Peru (aii-aii) Peru peru para Daro ni ya eight mbona manze nimelala? (Aii) Ati buda zimewaii Ati buda zimewaii Buda niko jaba githurai na zimewaii Aii, venye macho zimewaii Ati buda zimewaii Aii, jaba githurai Aii, ati buda zimewaii Ati buda zimewaii na niko jaba githurai Ati, ah