Ufalme wako ni wa milele, haulinganishwi humu duniani Ni wa haki na utakatifu Bwana Uwezo wako ni wa milele, umetambulika vizazi hata na vizazi We ndiye mwenye nuru, na mwenye nguvu Yahweh Oh Mungu wa Israeli Oh We pekee wa ukweli Oh Mungu toka zamani Oh Watawala mbingu na duniani Ameifanya misingi ya dunia, iwe yamepandwa juu ya bahari Na vilivyomo vyote ni vyake, huyu Mungu Ninani huyu hodari wa vita, Bwana wa Majeshi nani ata mshinda Na ndiye mfalme anayesifika, basi pazeni sauti natumwinue Oh Mungu wa Israeli Oh We pekee wa ukweli Oh Mungu toka zamani Oh Watawala mbingu na duniani Oh Mungu wa Israeli Oh We pekee wa ukweli Oh Mungu toka zamani Oh Watawala mbingu na duniani Sioni mwingine mtajeni tuone Sijapata mwingine kama yeyee Hatuoni mwingine mtajeni tuone Hatutapata mwingine kama ye Sioni mwingine mtajeni tuone Sijapata mwingine kama yeyee Hatuoni mwingine mtajeni tuone Hatutapata mwingine kama ye Sioni mwingine mtajeni tuone Sijapata mwingine kama yeyee Hatuoni mwingine mtajeni tuone Hatutapata mwingine kama ye Oh Mungu wa Israeli Oh We pekee wa ukweli Oh Mungu toka zamani Oh Watawala mbingu na duniani Oh Mungu wa Israeli Oh We pekee wa ukweli Oh Mungu toka zamani Oh Watawala mbingu na duniani Oh Mungu wa Israeli Oh We pekee wa ukweli Oh Mungu toka zamani Oh Watawala mbingu na duniani Sioni mwingine mtajeni tuone Sijapata mwingine kama yeyee Hatuoni mwingine mtajeni tuone Hatutapata mwingine kama ye We give you all the glory We worship you our Lord You are worthy to be praised We give you all the glory We worship you our Lord You are worthy to be praised We give you all the glory We worship you our Lord You are worthy to be praised We give you all the glory We worship you alone You are worthy to be praised Twakupa utukufu Twakwabudu Bwana Wastahili sifa Twakupa utukufu Twakwabudu Bwana Wastahili sifa Twakupa utukufu Twakwabudu Bwana Wastahili sifa Sioni mwingine mtajeni tuone Sijapata mwingine kama yeyee Hatuoni mwingine mtajeni tuone Hatutapata mwingine kama ye Sioni mwingine mtajeni tuone Sijapata mwingine kama yeyee Hatuoni mwingine mtajeni tuone Hatutapata mwingine kama ye