Si kwa nguvu zangu wala uwezo wangu Si kwa wema wangu wala uzuri wangu Si kwa nia wala mapenzi yangu Kuwa mwana wako Baba Si kwa nguvu zangu wala uwezo wangu Si kwa wema wangu wala uzuri wangu Si kwa nia wala mapenzi yangu Kuwa mwana wako Baba Ulinijia mimi nikiwa mnyonge Nikiwa nimezama na dhambi kunipofisha Kwa neema zako ukanifikia Ukaniokoa kwa wako mwana Ulinijia mimi nikiwa mnyonge Nikiwa nimezama na dhambi kunipofisha Kwa neema zako ukanifikia Ukaniokoa kwa wako mwana Wewe ni ngome yangu Bwana Wewe ni nguvu yangu Wewe ni nguzo yangu Bwana Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Wewe ni ngome yangu Bwana Wewe ni nguvu yangu Wewe ni nguzo yangu Bwana Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Wewe ni ngome yangu Bwana Wewe ni nguvu yangu Wewe ni nguzo yangu Bwana Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Sasa wakovu wako umenipa bure Utakatifu wako Yesu umenivisha bure Kwa mauti we umenitoa kule Na ni kwa neema na rehema Sasa wakovu wako umenipa bure Utakatifu wako Yesu umenivisha bure Kwa mauti we umenitoa kule Na ni kwa neema na rehema Sasa wakovu wako umenipa bure Utakatifu wako Yesu umenivisha bure Kwa mauti we umenitoa kule Na ni kwa neema na rehema Wewe ni ngome yangu Bwana Wewe ni nguvu yangu Wewe ni nguzo yangu Bwana Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Wewe ni ngome yangu Bwana Wewe ni nguvu yangu Wewe ni nguzo yangu Bwana Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Wewe ni ngome yangu Bwana Wewe ni nguvu yangu Wewe ni nguzo yangu Bwana Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako Yahweh Yahweh ndilo jina lako Bwana Yesu ndilo jina lako