Nishike mkono Bwana niongeze kwa njia Ufalme wako niuone utakalo lifanyike We ndiwe Mungu na mweza, Bwana mwenye enzi Kwa nguvu zangu mi siwezi, nakutegemea Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Njia zako ni za haki na takatifu zaidi Sheria yako kamilifu ushuhuda zako kweli We ndiwe mwangaza wangu msaada wa karibu Mlinzi wangu Ewe Bwana sasa na hata milele Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Naiweka imani yangu kwa Yesu mwana wako Ndani yake kuna ukombozi, utakatifu wako Mwangaza na uzima wangu, we ndiwe wokovu wangu Maisha yangu ii salama kwako, we Bwana wangu Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone Kwa neema zako nisamame Kwa nguvu zako nisizame Kwa uwepo wako nifikishe Hadi mwisho, nikuone