Kishore Kumar Hits

Timeless Noel - Kanyaga Lami - Based on the verse Psalms 119:105 текст песни

Исполнитель: Timeless Noel

альбом: Kanyaga Lami (Based on the verse Psalms 119:105)


Timeless noel raudi tupige route 11
I go by the name jabidii
Kanyaga lami
Tafuta tata tafuta tata tafuta ta taa
Kanyaga
Walk walk walk walk walk walk
UnaKanyaga lami
Tafuta tata tafuta tata tafuta ta taa
Kanyagaa
Walk walk walk walk walk walk
Wee kanyaga lami
Kama jonah
Usikatae kutumwa nineve
Kanyaga
Hata ka kuna njeve
Hata upande jet huwezi fika heaven
Lazima uwe na Christ na upige route 11
Odi wa mtaa ukona dream ya kuwa star
Hauwezi make kaa umekaa
Basi amka
Focua vile inafaa
Kanyaga na utapaa
Eh wolan
The Bible is clear about it
(Waaat)
Fi grandpa want it
And everybody want a problem note it
Kanya kanya eeh kanyaga lami
Kanyaga
Unakanyaga lami
Tafuta ta ta tafuta ta tafuta ta taa
Kanyaga
Walk walk walk walk walk walk
Weh kanyaga lami
Boy child umegangana sana i say
Ukibelieve ati doh na connection ndio say
Siste umetamani sana kuslay but inakuwa ngumu day by day
Its simple
Psamls 119-105 thy word is lamp to my feet
So ata kwa giza nacheki fiti
Mi nina mwaga sitishiki
So nakanyaga uwe confidence najua God akisema its a compitence
(Atatenda miujiza)
Uliza jacob is the evidence
Ata ikuwa hard unaa. Kanyaga lami
Tafuta tata tafuta tata tafuta ta taa
Kanyaga siste
Kanyaga
Walk walk walk walk walk walk
Unakanyaga lami
Tafuta tata tafuta tata tafuta ta taa
Kanyaga
Walk walk walk walk walk walk
Weh kanyaga lami
Kanyaga buda
Kanyaga
Its simple
Timeless noel
Wana wana wana wana wanawork hard
Wana wana wana wana power
Walk walk walk walk walk walk
Tafuta tata tafuta tata tafuta ta taa
Kanyaga
Walk walk walk walk walk walk
Unakanyaga lami
Tafuta tata tafuta tata tafuta ta taa
Kanyaga
Walk walk walk walk walk walk
We kanyaga lami
Wana wana wana wana
Wana wana wana work hard

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители