Kishore Kumar Hits

Brokuod - Kixender текст песни

Исполнитель: Brokuod

альбом: Sherehe


Nimekupata wewe
Dawa yangu ya roho mama
Na nisije chelewa
Kuzikiri hisia (Ahh)
Kweli nimetembea
Pandashuka za dunia
Lakini nkarejea
Na mahaba kapokea
Nilikupenda kweli mimi
Na mapenzi bado yapo
Nikakutwika mzigo hata (Ahh)
Na ukavumilia bila mada
Nakupenda kila saa
Ningependa angalau
Nikwimbie wewe (Nikwimbie wewe)
Na sa tumeconnect kixender
No cap nakupenda
Na chochote nitatenda
Kutenda nakupenda
Na sa tumeconnect kixender
No cap nakupenda
Na chochote nitatenda
Kutenda nakupenda
Skiza story kabla ujudge book
Is it my body is it how I look
Tuliza mori coz the ground shook
Well you fell from heaven with a bright look
Na unajua ni wewe nawaza mama (Ahhh)
Na unajua ni wewe usiku mchana
Na sa tumeconnect kixender
No cap nakupenda
Na chochote nitatenda
Kutenda nakupenda
Na sa tumeconnect kixender
No cap nakupenda
Na chochote nitatenda
Kutenda nakupenda
Nikaimba nieleze
Pambana na maisha we
Na bado unanichanganya changanya
Nikaimba nieleze
Pambana na maisha we
Na bado unanichanganya changanya
Na sa tumeconnect kixender
No cap nakupenda
Na chochote nitatenda
Kutenda nakupenda
Na sa tumeconnect kixender
No cap nakupenda
Na chochote nitatenda
Kutenda nakupenda

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

KWETU

2022 · Мини-альбом

Похожие исполнители

Flier

Исполнитель