Hatua za mwenye haki
Za ongozwa naye Bwana
Na Bwana hufurahia
Njia zake wakati wote
Hatua za mwenye haki
Za ongozwa naye Bwana
Na Bwana hufurahia
Njia zake wakati wote
♪
Nakukabidhi Bwana
Njia zangu zote
Pia nakutumaini
Najua Bwana utafanya
Hata nijapojikwaa
Sitaanguka chini
Bwana utanishika mukono
Na kunitegemeza
Nakukabidhi Bwana
Njia zangu zote
Pia nakutumaini
Najua Bwana utafanya
Hata nijapojikwaa
Sitaanguka chini
Bwana utanishika mukono
Na kunitegemeza
♪
Eehh hallelujah
Wewe Bwana wewe Bwana
Bwana nimesangua
Wafanya kazi kwa siri ndani yangu
Hallelujah hallelujah
♪
Umwangazie mtumishi wako
Uso wako
Maana ninayatamani
Maagizo yako
Elekeza hatua zangu
Kwa neno lako
Uovu usije
Ukanimiliki
Umwangazie mtumishi wako
Uso wako
Maana ninayatamani
Maagizo yako
Elekeza hatua zangu
Kwa neno lako
Uovu usije
Ukanimiliki
(Ee Bwana naomba)
Ongoza hatua zangu
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
Eh Bwana (eh Bwana)
Eh Bwana (eh Bwana)
Ongoza hatua zangu (niongoze)
Eh Bwana
Eh Bwana (niongoze)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana naomba)
Ongoza hatua zangu (niongoze)
Eh Bwana
Eh Bwana (niongoze)
Ongoza mwendo wangu (niimarishe)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana)
Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Yesu)
Ongoza hatua zangu (eh Yesu)
Eh Bwana
Eh Bwana (uniimarishe)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana!)
Ongoza hatua zangu (niongoze)
Eh Bwana
Eh Bwana (unisaidie)
Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
Ongoza hatua zangu (eh Bwana, eh Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (msaada wangu)
Ongoza mwendo wangu (niwe Bwana)
Eh Bwana
Eh Bwana (niongoze Bwana)
Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
Eh Bwana (eh Bwana)
Eh Bwana (we Yesu)
Ongoza mwendo wangu (we Yesu, we Yesu)
Eh Bwana
Eh Bwana
Ongoza hatua zangu
Eh Bwana
Eh Bwana
Ongoza mwendo wangu
Eh Bwana
Eh Bwana
Поcмотреть все песни артиста
Другие альбомы исполнителя