Alex vice Skrr, skkskrr Man a driller yoh Nairobi, Nairobi, Nairobi to the world Journey ni refu tukifika tumededi Kwa hii industry yetu ni ka kila mtu amekua seti Ganji kwa bedroom innit, sisi hatuko kwa benki (never) Qtac alihit akaenda ocha kumedi Yoh, riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa Kwanza piga kimbichwa huh, ukitaka ikus itisha Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa Kwanza piga kimbichwa huh, na ukitaka ikus unaitisha Si huchoma mbicha na picha zikishika si hukunywa mamchicha Si hubonda kila kitu inapita operation kumaliza Top five kwa Deezer uliza bado mafala wanazidi kuumizwa Marijuana kwa kichwa Gbag full blast speaker nikiskia Sizla Mzinga kwa dinga, kadera hatumpatii shot atarenga Usiwai pima drillers utaibiwa peanuts jina tukuachie Mkenya Cortcore si hupenya, hearing ya tatu na na kumbleina Judge akasema, kumbe mmekuwa mkiniwasteia kalenda Tunathingithia Muthaiga exile tunaingia Saika kusearch for guidance Si huingia moshatha pande ya Kahega kutafta perfect hideout Tulikuwanga drillers, hata before nikuwe Sewersydaa Mi huvaanga mpira, sa ile nilitaka kupiga shot ya Snider Nimeanika chedah na pegs, wash wash on the run from feds Mi humisbehave wanaclaim nilipeleka mtoto wa jirani astray Utatoboka ukiekewa gun on your head (Ama) ama utaokotwa bila iyo head Journey ni refu, tukifika tumededi Kwa hii industry yetu ni ka kila mtu amekuwa seti Ganji kwa bedroom innit, sisi hatuko kwa benki Qtac alihit akaenda ocha kumedi Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa Kwanza piga kimbichwa huh, ukitaka ikus itisha Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa Kwanza piga kimbichwa huh, na ukitaka ikus unaitisha Think like a woman but me huroll like a real black man Nasink ka ink kwa skin si blink Mi huroll like a real black man Rethink tulimshow next time tukilink atakuwa on the brink Ya kujua mi ndio the real black thug Nadunga all pink, no stink nasting Mi ndio the real black plug Ni genje mi ni hupatrol life juu ya ndege Nataka kuwa kwa clouds nikitolewa nyege Pereka full speed nidoze ka mende Nataka poolpit tukiskiza Mugithi No face no case, most wanted kwa streets wanajua mi msenye No trace niliwacheza ka maze bila grace Most Def iyo case iko erased In fact mi mratchet freak nampea ikus ndani ya casket In fact mi mdrastic creep D ufungulia space ndogo ya sachet Midnight train inatoka saa sita Vile naride utadhani ni vita Ka tuko FIFA vile nagrab izo balls utadhani mi ni keeper Unasweat sana buda kwani unataka kuzima huh Haga unadribble ka mpira kwani unataka kufunzwa huh Umezoea sana kujipa, haga legit ikijipa unawika Mi ndo hufunza man kudagger wengine ni mateasers Journey ni refu tukifika tumededi Kwa hii industry yetu ni ka kila mtu amekuwa seti Ganji kwa bedroom innit, sisi hatuko kwa benki Qtac alihit akaenda ocha kumedi Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa Kwanza piga kimbichwa huh, ukitaka ikus itisha Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa Kwanza piga kimbichwa huh, na ukitaka ikus unaitisha