Kishore Kumar Hits

Wakadinali - Sewersydaa (2nd Wave) текст песни

Исполнитель: Wakadinali

альбом: Sewersydaa (2nd Wave)


HR pump iyo track bana
Si tuko baze tunachill we got nothing to lose
Izo change mtatuachia tukiwajazia matatu
Mikono juu please usimake sudden moves
Sitapress umuambie kuna kitu hapa itamake kwa news
Karao alitry kushika yout sema kuawacha miguu
Maumau part two ni vile tumetulia tu
Righteous youts lakini hamtushindi kugroove
Hamtushindi kupush hamtushindi ma one two
Sa mnado?
Ka si look na kuingia Carrefour
Pass iyo dutch umedunga na ni foreign si gush
Hakuna kitu tamu kama kuget high kwa roof
Sa iyo keja imewaka na inagonga tu maroots
Punctuate iyo sentence tuelewe chenye unasema
Me ni ka Elijah
Me ni ka Moses nikitembea kwa bush warena
Eeh nakam kwa arena na njaa za kimagera
Sauti ya Miriam Makeba inaplay kwa debe na tena
Tumerudi tena ka 2nd wave but only better
Rizzla ki nea paraphenelia za mavela
Mbleina cheki radar tumeriet tuko ma redeye
Yes I nati zinadunda ka za Dedan
Runda ndo si udunda zikirunda
Jeshi ya bunda washwash si mumesunda
Will M Mtunga ungechanua kina Mtuva
Izo mili ni za kusunda so itabaki joh umekulwa
Alfred Mutua alikuliwa pia na Julius
Crime scene 15 one down Rubia
Shut down shutup si uliambiwa tulia
Kushoto ya kahasho mpaka utaanza kulia
Pastor alikula kondoo na mbegu haikuwa imegrow
Niliwaambia sister alienda kombo siku hizi anapenda kuicock
Na si unajua hatujawai condone mistake zikiwa tatu in a row
Na si unajua hatujawai bow down kwa mlami juu ya dooh
Me ndo iyo monkey kwa room otobenga yoh
Nimetoka human zoo waliniimport juu ya kuflow
Top ranking kwa booth Alpha Omega bro
Patia mtoto the truth ata unaeza mnyima do
Hang nao juu ya doh kama Sewersydaa kwa rope
Power inaeza fanya bro apige bro guto
Rap loud vunja gate ingia industry na force
Towers lazima zitafall after all I know
On God mathangu na pia matha fucking Dosh
Tulidoze backstreet tukiwa mbachua juu ya macops
Nimechoka baby girl please panda on top
Me mshifty siku hizi nawork around the clock
Ata using hard aje unaeza kua the unsung hero
Kipsang uyo mbio amecover distance zero
Umehang huko maduya ama unataka reload
Si ulimeza 40% sai unataka Milo
Aliona aache shillings akakimbilia riyad
Sai amerudi nill anatuthigithia adi mia
Ngumu ata kulipa na we uanga wa kwanza kulia
Tuliifanya last year na this year tutairudia
Wanataka two thirds ndo ati hali ikue merrier
Niko na rude girl sioni things zikiwa better
Na ako wapi Dufla ama alikula akasepa
Batizwa na boombap kwa jina la Kimemia

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Bien

Исполнитель