Ayo One two Man a driller Ah ah Ayo (HR pump iyo track bana) Nilikua joh makini kwa class Nilibeba barbed wire pia juu ya anasa On toes nikirudi dorm juu ya kishada Alafu anaulizwa why nilipigwa ex mi ni insighter Tulishatengana sai tunakufia kisimani Hadi waleo tunangoja Boni alilie haki Tusiwai lengana ati juu uko Kilimani Nikona denge ati anadai ati nimtumie za upkeep Flash iyo shit alafu adisia za kiharpic Sheng siku hizi kidogo inaenda kusound Spanish Vamos kwa corridor ya kotko ka pattni Eastleigh wanajua president wao ni Abdi More fire iletwe nimeshinda nikipepeta haiwaki Ambia chali yako next nikilemewa bahati Raia si unajua hata ukiwakufia hawakutaki Tutakutumia alafu tukuchukie no capping Si ufika wa kwanza kwa scene kumbe hatukuwa tumeenda Police naskia ndo wamekam kusurvey area DCI wanatumia picha za last year Nacheka nalia brace yourself my dear Heist ya ruciu vitu zinarudi soko Bass inashika hadi roho inavibrate tukizaski Inooro Hibernate after kikoro kufichia wasoro Mambo ya mamokoro niliwacha tangu aha aha Tangu tangu nikutwe na mama Osoro Baptized with gold siku hizi naitwa Brother Paul (Brother Paul) Usipige mara mingi ka nilihata call In groups of fours kwa hall mnadiscuss what Mimi nitaenda kwa mada direct Na leo imebaki elfu nane Tupate Kibra 4 Makina fort lap za ndom Akiba joh mangive ooh iliclean it all If you know you know hii system ni ya macriminal Twende church ama tusolve hii problem at all Better fly early hii weather haikai safi Let's hio mali umeshinda ukisanif Butterfly Ali huezi nipata lacking Utarudi na black eye ukikujia asali Sisi ni watoto basi tuvalisheni onesie Turudisheni daro si tunakaa madwanzi Magirish mnaeka hadi budget ya chai For a minute nilidhani ati mtaiweka aside Remember time inarun out of five itakua four Four, three, two, one na unazero to show Tuma cheat au cheer niko ready kublow Kwangu ni ka guillotine so ni lazima nido We kwako unashindwa kuifanya ju ni ati hauna doh Tangu Europeans waende kuna hyenas on the lose ITs laptop hupitisha ujumbe deadlier than Hatufai kuwa the same ndo mi na we tushare space Pia ka huna intel, mi na we hushare empress Unaskiza the best aka Chief Gwetheist Aka Uncle Trench hio iko familiar na warist nowadays HR pump hio track bana