Ye ye ye ye ye yeyeye
Ye ye ye ye ye yeyeye
Si ni TK
Si ni TK
Ay yo Metro Suka Doba
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK,
Si Ni T, T, Tk
Si ni T, T, T, TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si ni T,T, TK
Si ni T, T, T, T, TK
Walitry kunichorea kama disney cartoon
Opponent ni kina nani ka ni sisi utalose
Sichukui ukinipea me na insist ku chose
Na mtiaji pigwa block naku dismiss for good
Story yangu haijui so usibonge kuihusu
Mahali nimefika we ulishuku
Sitafika mahali niko
Kuna njeve niko indoors
Na peng ting jo kabaya ka huninyonya ka ki pin pop
Boy msimple niko ridho
Me huomba sana niwe na zangu nisiwai kuwa beggar
Niwaombe hadi cheddar
Watiaji bado wengi me huwaona macho laser
Ni makali no chaser
Punguza pressure za dunia
Usijifanye we ni member
Ju TK ndio kusema
Najua tulikatsiana lakini nakuombea mema
Mama said hate no man
Ju ya kesho hauyajui caterpillar itaburuka
Ain't no love in the endz man
Ain't no love in the endz
Laugh now cry later
Mama saw me on TV
Akasema my son keep going na u believe
Haiwezi kuja hivo easy
We ni star, we ni star
We ni mfalme kazini
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK,
Si Ni T, T, Tk
Si ni T, T, T, TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si ni T,T, TK
Si ni T, T, T, T, TK
TK ni fam sio mbogi
TK ni fam members only
And if a man try test twende ndondi
1 On 1 let's see what's it gone be
Smooth, ju me Bazenga sinanga rush
Leta noti tupu sidai ma mbao ma das
In other words money talks
Achana na insyder
Ntakafunga hadi niuze sura juu ya forbes
I play my role
Jah jah open doors
Nado more with less nishageuka boss
Sacrifice ndio ni rise hii ni life I chose
Si ni TK ndio slogan toka nai to coast
Sihusiki na si bother ka sidai na ghost
Kwa hii jiji me naomba nisawai take a loss
Take caution na ujichunge ukitry approach
Nimedunga fila ndechu na ma polo shorts,mmh
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK
Si Ni T, T, Tk
Si ni T, T, T, TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si Ni TK, Si Ni TK
Si ni T,T, TK
Si ni T, T, T, T, TK
Поcмотреть все песни артиста