Leo namaliza na pombe Nataka nimalize na pombe Leo namaliza na pombe Nataka nimalize na pombe Nimekuwa na siku mbaya (Eeh siku mbaya) Mfuko economy mbaya (Economy mbaya) Morio ashavuta waya (Ashavuta waya) Na anadai ako ganji mbaya (Ako ganji mbaya) Leo nakunywa vile mi huwakunywa (Kunywa) Pesa inaniwasha najikuna Nyama kwa nyama hapo Njuguna's Haibambi, I'm not boarding ka Miguna Hey is it true niliona IG Niko na form nishow ID She said am between 18 and 24 Nikamshow mi huwaka na kina Joe Muchiri Basi twende hivi 1824 Pombe tu sigara niliachia kina Nviiri Si wewe ndo huniitaga kang Kaka Naona unanizaa basi leo utanipata Nimekuwa na siku mbaya (Eeh siku mbaya) Mfuko economy mbaya (Economy mbaya) Morio ashavuta waya (Ashavuta waya) Na anadai ako ganji mbaya (Ako ganji mbaya) Leo namaliza na pombe (Maliza na pombe) Nataka nimalize na pombe (Maliza na pombe) Leo namaliza na pombe (Maliza na pombe) Nataka nimalize na pombe (Maliza na pombe) Waiter leta maji mingi Nimeanza kupeana masiri Nimeanza kupandwa na mafeelings Nafuata fuata kila mini Huyo ako 20 ama hamsini Zile vitu naona aki siamini Zile vitu nafanya sio mimi Forgive me Yeah I'm so curious ka uko serious Nipe confirmation Uber vile inakimbizwa manze wasitupitishe Hizi ni zile tam critical, silali mpaka kesho Pombe ni temptation kuanza vacation Nimekuwa na siku mbaya (Eeh siku mbaya) Mfuko economy mbaya (Economy mbaya) Morio ashavuta waya (Ashavuta waya) Na anadai ako ganji mbaya (Ako ganji mbaya) Leo namaliza na pombe Nataka nimalize na pombe Leo namaliza na pombe Nataka nimalize na pombe Toka toka haraka, toka haraka Easy tupende anasa Toka toka haraka, toka haraka Easy tupende anasa Toka toka haraka, toka haraka Easy tupende anasa Toka toka haraka, toka haraka Easy tupende anasa