Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Kwa sherehe tumefika Sherehe tumefika Kwa sherehe tumefika Sherehe tumefika Familia iko ndani, ndani Wote tunajibamba Marafiki majirani, rani Wote tunajibamba I am happy today, so happy I am happy today, so happy Ju sisi ni walevi, sisi ni walevi Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso Sisi ni walevi, sisi ni walevi Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Pem-peremre (Iyanii) Pem-pem-pem-peremren (Iyanii) Pem-peremre (Iyanii) Pem-pem-pem-peremren (Iyanii) Comrades power (Power) Comrades power (Power) Niruhusu leo niwaite makondoo (Aii) Skiza, ship yaani kondoo is for friend (Ship) For better for worse yaani through hard (Ship) Na kuanzia leo that's our relation (Ship) Ship power (Power) Ship power (Power) I am happy today, so happy I am happy today, so happy Ju sisi ni walevi, sisi ni walevi Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso Sisi ni walevi, sisi ni walevi Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Aiiii-ih Mnanibamba mbaya, ah wote Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka) Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki