Enhe hee bwana (Dapro on the track) Mungu hakupi unachotaka Anakupa unachostahili Moyo wangu hauna haraka Ulisubiria kwa unyenyekevu Now i deserve alipiga route nyingi sana Masafa marefu na ndo akafika kwetu Till now tupo safe Mzuri wa tabia, sura pamoja na shape Harusi ndo kifuatacho tuwalike ma elfu Waone nikikushika kunako kila nikipata gap Hakuna anaye kuhate you wanafiki no okay Mbele ya macho yao wanaona tunapiga step Pop machampagne tupia picha Facebook Insta wanabaki wanaguess tu Mi nawe till I die Hakuna mkate mgumu baby mbele ya chai Shika kokote I don't feel shy You are my one and only Unanimaliza, unavyokandamiza Baby hakuna unachokibakiza baby Unanimaliza, tamu umepitiliza Baby hakuna unachokibakiza Huh nilikutaka, nikakusaka Ukanichezesha kombolela nikakupata Nikakupakata ukawa unakataa Ndo kupeana roho ile kitu inataka Mtoto unawaka kwenye mtego nimenasa Kama muda ni sasa acha nitoke kiafsa Twende zetu Mombasa tuyaienjoy masafa Tukirudi new chapter kando ya ziwa Nyasa Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili Moyo wangu wa subira ulisubiria kwa unyenyekevu Now i deserve alipiga route nyingi sana Masafa marefu na ndo akafika kwetu Till now tupo safe Mzuri wa tabia, sura pamoja na shape Tuna pop machampagne tupia picha Facebook Yeah eeh bwana Unanimaliza, unavyokandamiza Baby hakuna unachokibakiza baby Unanimaliza, tamu umepitiliza Baby hakuna unachokibakiza