(DaPro on the track) Ee bwana Haaah. ukweli uko wazi, haujifichagi Yooh. Usimpe kichwa panzi, mzingwa wa konyaji Warembo wape zanzi na maji kwenye jagi Wapunguze stress kisha niwape stimu waki ni hug Mungu ndo mpaji, kanipa kipaji Wanangoja nikae kimya, wanakuta sinyamazi Yani warembo na kazi, Hennessy na zanzi Wote watu wazima hakuna dogo wa kumtuma maandazi Nalala na mchuchu Naamka na supu Nimeamka tajiri ♪ Nililala kapuku Nilizima na nguo Nimeamka mtupu Kitandani watoto wanalia kama kasuku
Okay. Mimina pombe kwenye readcup Ni ukimbie unyonge chap umeniparamia pap Usione bado tupo top hizo ni blessing Naona haina haja ya kuki close kiki happen
Inna a d Angelini kuwapata ni channel Nyumba hii haiuzwi, ogopa matapeli Vibopa na cancel na maisha ni travelling Tuna enjoy thug life, Tupac Makaveli Unapanda kitandani umevaa nguo una maana gani Akili za kuchimba chambo kwenye lami Hapa ukija kichwa kichwa Unarudi tipwa tipwa Kuna pombe na mademu na vitu zime pikwa pikwa Misosi nenda kitchen Everybody listening ♪ Biashara chochote naomba basi njoo unipe me Pool nenda garden Mvinyo ukikolea hapa naona wakala wengi Mpaka sijui pa kutolea. ooh yeeah Usije sema watu wameiba Wakati na wewe usha kula vya watu umeshiba Alafu wahuni wanakuomba 'mmh mmmh.' unaziba Utavua viatu utachuma kisamvu Naimani utapigwa wewe (hatari) makofi ndio habari Utaendaje home na dereva kasha lewa chakari Ila mwenzio hatari, ka vipi mpe habari Belea halewi bwana mfungulie safari Na hatulewi kwa sababu ya stress Kwetu hasara roho, heshima inaambatana na cash Jicho nyanya hebu tazama ma face Hapa hakuna kuchorana ka Ronaldo amekutana na Mess Yes. Ninahitaji company Mtoto mmoja wastani ♪ Khriiii mpaka maka, afu tutokee kitandani ♪ Hapo kifuatacho ni kutia mpira kamabani Ukiona umetengwa basi ujue hujichanganyi Fanya unitembezee shuka kuta kucha Maana fisi leo ninapolala kuna bucha Hapo askari kasimama kuna pusher Zile bebe kali zimeinama zimesuswa Mwambie baunsa asilete nyama za sambusa ♪ Apambane maana kuna baby mama hazijaguswa Aone huku vimini na fulana vinashuswa Kifuatacho kupambana tu na rushwa Macho zigi zigi za niga na wizi wizi Babay uko na me yani ni ku jigi jigi All night, alright, alright, all night, alright oooh. Ee bwana Ujue me sinaga swagger kabisa.