Now I feel great Ukigusa upanga mmoja mbugu chini Tuna celebrate hadi mwisho wa mechi ni dakika tisini Cause am a central business kwa business Muulize izoo business na hatuchanganyi business na life Nawaona kwenye kombe la kahawa mnatia sugar Shetani anamuingia yuda bishoo anjitia ninda hii ni miracle Katikati ya mbuga nachana mbuga Kuhusu taji langu la u king kupewa ni swala la muda tu Whatever happen make it happen hakuna kukaa kizembe Kwa kutumia ulimi usiupime ukali wa wemb Ni kunyata umevaa moka surprise itaexpire Anaeyejitia mwema kwa watu huyo ni mbaya Nahitaji android sio twenty kama percent Music we get barred while skills is ma parent Nayoongea ni talent so you need to be silent Hii ni big ilivyo biggy like Christopher wire Haswa nawanywesha dawa kwa nguvu nimeona ni wagojwa Sugu nikikosa pilipili kwenye supu naeka upupu Ukitaka chuku ni chuku, ukitaka tupu ni tupu Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu Baada ya blessing, mipango na cahsing Ni hoja na sense waambie mtaa wa pili Wafunge geti na washushe neti Ma life is colourless, snitch you can't define me Na siabudu salary cause things don run we Bro, ukimess na mimi sikwepeki kwa kumvuta Huezi saidia mtu aliyekanyaga breki Unaeza kua unajua kusoma na kusomeki, Ila haimanishi kua ety ukijua kuchora hauchoreki Rabbana khafil dunia il khasannah Ya allah utubariki usiku na mchana Tuongoze kwa kila kitu ambacho tunafanya Kwa maana mbele yako hakuna linaloshindikana, amen I gat more rhymes haziesabiki hata kwa sense Usipagawe na bling haitoshi ukiniita gangster Bila mbolea tunastawi hatuhitaji mizoga ila akiingia Mchawi kila abiria chunga mkoba Mapenzi yamegeuka filam ma sister du wanna act Usiamini akitabasamu utaachwa lonely na haumpati Mashindano yanapotosha alafu washindi wana pangwa Ni kama tusemavyo ngosha kua hizi propaganda Zingatia vita huezi toa kwa ncha ya mshale Itakua ni zaidi ya mambo ya kale Asa dua zitawale kwa mishe ya hapa na pale Ili mvua ikimwaga maji si tuohoze kama kambale Yo, siku huisha kabla ya kuanza yaani mungu ndio ana panga Fwata ili ujue njia ukienda mwanza usitokee tanga Asa karibu mwanza niwafunze ukamanda mkinkuta twende sambamba Muone miamba ilivyotanda kama ukutaa Haya kama unataka kua kua kua nasi kua kua tayari wote Yani mikono juu yani kaa kaa taayri oye hae hea Haina baadae haaa Sa twende twende twende sasa (do you remember me?) Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu Ehhh bwana