Faraja nakutafuuuta! hauonekani?
Mawazo yananitingaaa moyo unauma faraja oooh! uniondoe upwekee uckiache pekeee dunia imenitupa ndungu wamenitupa oooh! peesa hakuna chakula hakuna matatizo makubwa upweke umenikumba peesa hakuna chakula hakuna matatizo makubwa upweke upweke eeh! faraja nakuita faraja uko Wap fataja oooh! mawazo yanauwa faraja nakuitaji faraja ooh! faraja nakuita faraja ukilia angu haja dunia inanichanganya natafuta faraja oooh!
Wapo wengi sanaa wakuitaji faraja
Unikumbuke sanaa naminiwe mmoja uukifika kwangu ukae mwaka mmoja tutembee pamoja
Nitambee nawe faraja lakin ukija leoo na uondoke keshoo utanachia
Mawaazo kichwan tele mawazo
Pindi Mimi sina pesaa wengine wanatesaa ninapokua nawaza uwa uwa nakuitaji faraja oooh!
Faraja nakuita faraja uko wapi faraja oooh! mawazo yanauwa farajaa nakuita faraja oooh! faraja nakuita faraja ukizi yangu haja
Dunia inanichanganya natafuta faraja oooh!
Nimezalishwa mwanaa baba sijamuona nyumba niliopanga karibu nafukuzwa nimeshauza nyanya maandaz ata karanga
Faida sikupataa sasa nafa na njaa
Ona barabarani wanavyo omba omba nenda kwao faraja wanakuita faraja alau uje sasa ukae nami faraja mpaka lini mola maisha haya mabaya oooh!!! faraja nakuita faraja uko wapi faraja ooh mawazo yanauwa faraja nakuitaji faraja ooh!
Faraja nakuita faraja ukizi angu haja dunia inanichanganya natafuta faraja oooh faraja nakuita faraja
Uko wapi faraja ooh! mawazo yanauwa faraja nakuitaji faraja ooh!
Faraja nakuita faraja ukizi angu haja
Dunia inanichanganya natafuta faraja ooh!!! End
Поcмотреть все песни артиста
Другие альбомы исполнителя