Kishore Kumar Hits

Dayna Nyange - Mimi Na Wewe текст песни

Исполнитель: Dayna Nyange

альбом: Mimi Na Wewe

He Will Never Leave You, He Will Never Forsake You,
He Will Never Leave You, Believe It When I Say

Nikiangalia Vizuri, Uko Nyumbani Peke Yako,
Kila Kitu Kilienda Mrama, Ni Kama Wanakuchukia,
Unaona Ni Vizuri, Ukichukua Maisha Yako,
Hizo Zote Ni Uongo Wa Shetani, Neno Lake Bwana Lasema,...
He Will Never Leave You, He Will Never Forsake You,
He Will Never Leave You, Believe It When I Say
He Will Never Leave You, He Will Never Forsake You,
He Will Never Leave You, Believe It When I Say
Amka, Furahia, Kwani Yesu Ana Upendo Wa Milele,
Ruka, Sherehekea, Kwani Kwake Kuna Amani Tele,
Usijalishwe Na Za Dunia, Kwani Kwa Yesu Una Yote,
Usiskiza Uwongo Wa Shetani, Neno Lake Bwana Lasema,
He Will Never Leave You, He Will Never Forsake You,
He Will Never Leave You, Believe It When I Say
He Will Never Leave You, He Will Never Forsake You,
He Will Never Leave You, Believe It When I Say

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Nae

2023 · сингл

Elo

2021 · сингл

Elo

2021 · Мини-альбом

Похожие исполнители

Liya

Исполнитель

CKAY

Исполнитель

Eugy

Исполнитель

Meyar

Исполнитель