Kishore Kumar Hits

Pillars of Faith Ministers - Upendo текст песни

Исполнитель: Pillars of Faith Ministers

альбом: Fondogoo


Mbona chuki kati ya waumini wapi upendo, upendo ule wa kwanza?
Kwanini sasa tuwe na utengano ikiwa tumeokolewa kwa neema?
Tutaketi je na Mungu aliyemtoa mwana wake wa pekee
Wapenzi ninawasihi tupendendane ikiwa tu watoto wa Mungu
Mbona chuki kati ya waumini wapi upendo, upendo ule wa kwanza?
Kwa nini sasa tuwe na utengano ikiwa tumeokolewa kwa neema?
Tutaketi je na Mungu aliyemtoa mwana wake wa pekee
Wapenzi ninawasihi tupendendane ikiwa tu watoto wa Mungu
Upendo uvumilia haujivuni
Haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe (kamwe)
Tena ufurahi udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu Wapenzi tutafute upendo
Upendo uvumilia haujivuni Haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe (kamwe)
Tena ufurahi udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu Wapenzi tutafute upendo
Ee Mungu wewe ni nguvu yetu
Ilete baraka kwetu sisi wanawako
Haki yako iwe ni nguvu yetu
Uwe faraja yetu hata kwa machungu Upendo na amani tujazie
Undugu uzidi uhasama na kisasi Mbona majirani tunapigana?
Tufunze upendo tukakumbatiane
Ee Mungu wewe ni nguvu yetu
Ilete baraka kwetu sisi wanawako
Haki yako iwe ni nguvu yetu
Uwe faraja yetu hata kwa machungu Upendo na
Amani tujazie Undugu uzidi uhasama na kisasi
Mbona majirani tunapigana?
Tufunze upendo tukakumbatiane
Upendo uvumilia haujivuni
Haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe (kamwe)
Tena ufurahi udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu Wapenzi tutafute upendo
Upendo uvumilia haujivuni
Haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe (kamwe)
Tena ufurahi udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu Wapenzi tutafute upendo
Upendo uvumilia haujivuni
Haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe (kamwe)
Tena ufurahi udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu Wapenzi tutafute upendo
Upendo uvumilia haujivuni
Haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe (kamwe)
Tena ufurahi udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu Wapenzi tutafute upendo
Upendo uvumilia haujivuni
Haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe (kamwe)
Tena ufurahi udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu Wapenzi tutafute upendo

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители