Is Another One (Heeee) Touch(Touch!) Kwanza jiji mtaliona kwa macho Na Dar mtakuja kwa passport Leo nina power nitafanya nitakacho Mi ndio judge alafu natoka chapo Napandisha vyeo wana kitaani(Jajimento) Natoa kibali cha kula mjani(Jajimento) Natoa wanajela waje uraiani(Jajimento) Nataka mimi mjue ninaitwa nani(Jajimento) Hebu usiwe jajimento Usishauri kuwalafuna ta ghetto Huna hata demu utashauri kuchumbia Mi nina demu alafu nawaza kuhusu kesho Na masela wangu wote peponi Huku tunaimba(Jajimento) Oya masela wote peponi Huku tunaimba(Jajimento) Napandisha vyeo wana kitaani(Jajimento) Natoa kibali cha kula mjani(Jajimento) Natoa wanajela waje uraiani(Jajimento) Nataka mimi mjue ninaitwa nani(Jajimento) Ah kama kichaka pewa rungu Wenye chapaa ndo watalinda sungu sungu Serikali za mitaa zote zitaundwa na wanangu Polisi ni taka - tema changu Na miraba maregoni lazima italipwa Atayekataa jua ndani atatupwa Aisee mi sina maana(Sina maana) Tangu jajimento niliposema legalize marijuana Kila ba Medi alipwa mshahara milioni kwa mwezi Na maksudi mi nitakata mishahara ya walevi Siku ya kuzaliwa hakuna maswala ya kazi Na jela siku hii hakupikwi nguna ni wali nazi Na mwendo kasi zote mimi nitafanya school bus Daladala sitaki tena nitarudisha tena uda Laini upande basi kuja Dar uwe na visa Coz mi ndio judge alafu natoka kwa wajanja Street wananiita honorable Jajimento Fulani kesho kutwa nakuhitaji uje Central Kama mapusha mi naishi nao ghetto Kama soweto(Jajimento) Napandisha vyeo wana kitaani(Jajimento) Natoa kibali cha kula mjani(Jajimento) Natoa wanajela waje uraiani(Jajimento) Nataka mimi mjue ninaitwa nani(Jajimento) Fungueni barabara mwanaume anapita Sinaga masihara kwenye maswala ya vita Kuchagua biashara ni kuchagua kitita Desa weka kiuno imara utavunjika Jajimento Mr Mento Mobuttu Seseseko, Erick Ford Umasikini ndio nini why silipi kodi Tazama maandishi ya chat zenu sipigi hodi Kazi na kazi sio kazi na dawa Msimamo usiweke maji wazi watu watanawa Ju -- ukiona hauna kazi akili iko sawa Akili umegawa au labda una akili ya chawa Akili ya Hawa kwetu ni godess power Jajimento Mr kulimeza instrumental Niguse uwe punching bag la wahuni gheko MC Junusi shika elfu kumi kachukue Dettol Alafu kesho njoo ghetto(Jajimento)